NACTE na vyuo vya diploma na certficate

NACTE na vyuo vya diploma na certficate

Chibanji

Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
39
Reaction score
7
Wadau naombeni mnijulishe n kwa namna gani unaaply kupitia nacte na college hucka kwa muda muafaka! mfano baaz ya vyuo vyenye diplma na certfcate vimeanza kupokea maombi akn nacte bdo ziii!. kwo online aplctn itakuaje.?? tuwasubr nacte wakati umeshaomba chuo hucka au ajeee!!!
 
Kamaa uliona tangazo na ukaaply skiziaa na kuwa mfuatiliajii maana wao ndo wanaoaccess application zotee uwemfuatiliajii wa website yaoo
 
Back
Top Bottom