NACTE ni kwanini mmefunga site ya matokeo ya Kidato 4?

NACTE ni kwanini mmefunga site ya matokeo ya Kidato 4?

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Nadhani mmeshawishiwa na wadau wa shule nyingi za sekondari ambazo hazina soko hasa kipindi hiki cha utahili wa watoto wanaotarajia kuanza form 1. Wazazi wengi tumekuwa tukiingia kwenye website ya Necta kuangalia ubora wa shule hasa matokeo ya form 4 ndipo tuamue kuchukuwa form.

Acheni hizo bwana. Waambieni wamiliki wa shule binafsi nao wapambane ile shule zao zipate soko.
 
Back
Top Bottom