NACTE Selected but not confined imeniponza

NACTE Selected but not confined imeniponza

nyanta

Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
21
Reaction score
0
Nyie nakte mmenipa aibu ya mwaka...mtaa mzma wanajua nasepa collg pale mzumbe but not selected. .kwa majina yao...ushauri tafadhali ninaweza omba open kwa mda huu na nikapata
 
Nenda tcu kuna link ya selected students. Weka details zako search.
 
Mzumbe washafanya yao mkuu bt hakuna kitu yaaan hapa nashidwa niwaambie vip wazazi
 
Back
Top Bottom