Nacte selection status

Muamala

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
69
Reaction score
10
Haya kama uliapply kupitia NACTE na profile yako ilikuwa bado inaonesha kwamba selection is in progress tembelea website ya nacte kisha check upande wa kushoto utaona sehemu imeandikwa applicants, ingiza jina au email yako hapo utaweza kujua selection status yako ingawa hawajaonesha chuo unachoenda.
 
Selection status nimeandikiwa PS,
maana yake nini?
Mwenye kujua anisaidie
 
je kwa wale ambao wameapply kwa 3rd round,je nahapo ikoje man
 
Mimi bado,imeandika selection is on progress.kwani hilo neno,applicants limeandikwa sehemu gani?naombeni msaada wenu wadau
 
Mimi bado,imeandika selection is on progress.kwani hilo neno,applicants limeandikwa sehemu gani?naombeni msaada wenu wadau

Weka e-mail yako tukuangalizie kwa sababu kama unaangalia kupitia profile iko vilevile, tuma email bila password.
 
thanks,ebunifanye mchakato wakuuliza,ila mimi ni rukwa,maana niki wa call kwa phone hawapokei.sielewi nitafanya nini?ningekuwa jirani ningewatokea,kwani umeona kabisa na jina,naomba msaada wako
 
MWALONGOGOVARID,selection status umeandikiwa PS as it means pending selection na ikibadilika utaandikiwa selected ila hutoandikiwa chuo gani umechaguliwa hadi hapo badae kidogo.

unatumia number gn kuwapigia jaribu hii kwa.....+255222780312,+255222780077
 
thanks too for those who helping me

na usiwe na wasi kuhusu profile yako kutobadilika kwani hawajaweka kwenye profile ila ni unafungua website yao then kushoto utaona link sasa bonyeza palipoandikwa applicants.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…