Muamala
Member
- Aug 10, 2013
- 69
- 10
Haya kama uliapply kupitia NACTE na profile yako ilikuwa bado inaonesha kwamba selection is in progress tembelea website ya nacte kisha check upande wa kushoto utaona sehemu imeandikwa applicants, ingiza jina au email yako hapo utaweza kujua selection status yako ingawa hawajaonesha chuo unachoenda.