Nacte selection status

Nacte selection status

fungua websit ya nacte upand wa kushot kun links tofauti sasa angalia ya applicants then utaona
 
ukisha click hapo utakut wanakwbia kuwek email au majin yako kam yalivyo kweny vyeti then utapt unacho uliza
 
Ukiingaza email utaambiwa Selected kwa ambao tayari, na ukiona Ps basi bado hujakamilishiwa i.e pending selection
 
poa nimekuelewa kiongozi,je vip kuhusu kwenye profile,wanaandikaje au hadi waandike Selection is completed,maana mimi sielewi wadau,maana mimi nilikuwemo kwenye list not selected,tulipewa mda wakurudia tena,nafikiri ndo ilisha juzi 6/9/2013,ilawengine wanasema mwisho kesho 9/9/2013.
 
Profile za baadhi bado zinasema SELECTION IS IN PROGRESS ingawa ukicheck kwa njia hii ya email tu inaonesha wako selected.
 
Back
Top Bottom