NACTE: Toeni matokeo ya mitihani kwa kufuata mfumo wa NECTA

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Mojawapo ya wadau muhimu wa matokeo ya mitihani kwa vyuo vya NACTE ni WAZAZI. Ni vema matokeo yakatolewa kama wanavyofanya NECTA ili iwe rahisi kwa wazazi kupata matokeo ya watoto wao kutoka kwenye reliable source kama website ya NACTE etc, siyo kusubiri kuambiwa na mtoto. Watoto wengine waongo......
 
mbona wameyatoa leo mkuu matokeo yao
 
matokeo yanatumwa chuo husika kama mtoto akikuongopea wapigie chuo watakupa matokeo ya uhalali mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…