Sisi tulio apply kwa equivalent qualification roho zetu zipo juu juu hasa ukizingatia kuwa vyuo vikubwa kama SAUT, UDSM,UDOM vimetoa selections na watu waliopita kwa equivalent wanahesabika, nacte walisema wana nafasi 20,000 na wakatoa list ya waliokosa yenye watu wachache, swala ni je sisi wote tulio apply kwa kutumia equivalent tumepata vyuo ? Ama ndo tutakuwa wahanga wa mfumo huu ? Nacte tusaidiane hapa, toeni list lote la selected by nacte mtutoe hofu .
Aisee hapa tunashindwa hata kujipanga inakatisha tamaa sana, na nikilogin kwenye profile yangu naambiwa selection is on progress i will be notified when it is done, wakati nikicheck vyuo ambavyo nilichagua vimeshaanza kutoa selection, inakuwaje hapa?
Sisi tulio apply kwa equivalent qualification roho zetu zipo juu juu hasa ukizingatia kuwa vyuo vikubwa kama SAUT, UDSM,UDOM vimetoa selections na watu waliopita kwa equivalent wanahesabika, nacte walisema wana nafasi 20,000 na wakatoa list ya waliokosa yenye watu wachache, swala ni je sisi wote tulio apply kwa kutumia equivalent tumepata vyuo ? Ama ndo tutakuwa wahanga wa mfumo huu ? Nacte tusaidiane hapa, toeni list lote la selected by nacte mtutoe hofu .
asante ,vp wewe upo kwenye process za vyuo ama umeshajua ulipopangiwa ?