Nacte tutoeni kimasomaso

Nacte tutoeni kimasomaso

beneli

Member
Joined
May 1, 2013
Posts
86
Reaction score
7
Sisi tulio apply kwa equivalent qualification roho zetu zipo juu juu hasa ukizingatia kuwa vyuo vikubwa kama SAUT, UDSM,UDOM vimetoa selections na watu waliopita kwa equivalent wanahesabika, nacte walisema wana nafasi 20,000 na wakatoa list ya waliokosa yenye watu wachache, swala ni je sisi wote tulio apply kwa kutumia equivalent tumepata vyuo ? Ama ndo tutakuwa wahanga wa mfumo huu ? Nacte tusaidiane hapa, toeni list lote la selected by nacte mtutoe hofu .
 
Aisee hapa tunashindwa hata kujipanga inakatisha tamaa sana, na nikilogin kwenye profile yangu naambiwa selection is on progress i will be notified when it is done, wakati nikicheck vyuo ambavyo nilichagua vimeshaanza kutoa selection, inakuwaje hapa?
 
we kama mimi, ukijua mapema unajipanga mapema..sa hiv kamoyo hakatulii..!
 
oooooh yeah hta mi ni miongoni mwa wale walio omba kupitia results za diplma yan kususbir kunachosha na kutia pressure ingawa vyuo nilivyo omba vyote bado havijatoa selection zao......bt watoe jaman
 
Sisi tulio apply kwa equivalent qualification roho zetu zipo juu juu hasa ukizingatia kuwa vyuo vikubwa kama SAUT, UDSM,UDOM vimetoa selections na watu waliopita kwa equivalent wanahesabika, nacte walisema wana nafasi 20,000 na wakatoa list ya waliokosa yenye watu wachache, swala ni je sisi wote tulio apply kwa kutumia equivalent tumepata vyuo ? Ama ndo tutakuwa wahanga wa mfumo huu ? Nacte tusaidiane hapa, toeni list lote la selected by nacte mtutoe hofu .

wa nacte tupo wengi tu, lkn walishasema ukiona jina lako halimo ktk list ya walioambiwa ku apply tena simply you have been selected. mi mwenyewe nasubiri NIT na TIA mana ndo vyuo nilivyoomba BBA na BPSM. Tusubiri tu
 
Yani mi nakosa raha kabisa rait wangejua ninavyojisikia wasingetufanyia hv. Yan sis tumeappy tangu mwez 5 lakn wezetu wa form 6 wamepata majibu ambao wamechelewa kuapply. Na siye tupo wachache wanashindwaje kutuhendo
 
Kwa kweli swala hl lifanyiwe kaz mana wengne tmebkiza chuo kimoja tu.
 
me ni miongoni mwa hao..!!nlichofanya ni kutizama selection zangu na kuanza na nloweka fast selection nkakuta jina langu katik selection zao....!!so wat to do tizameni katika vyuo mloselect wengine washatoa selectn so mwaweza kujijua kuliko kusubir nacte hawa jamaaa hawapo serious kabisa wawezaona umekosa chuo haki ya mungu
 
Na mimi ni mojawapo kwenye NACTE,kwa hiyo mimi sielewi kabisa,namimi nili apply vyuo vitatu 2,na vyuo ambavyo ni Chuo kikuu cha ardhi, mount meru,sielewi kama selection kama zimesha toka.jamani tukipata tujulishane bac maana tupo gege moja ndani ya NACTE
 
Jamani me nashndwa kuelewa ! Hvi ukiambiwa, your admission is succefuly , utakua umepata chuo au? Je km jina lako halikuonekana 2nd round na 3rd inakuaje hapa. Tjulishane wakuu mana wengne tmebakiza 1 choice tu! St johns.
 
Back
Top Bottom