Nacte tutoeni kimasomaso

Jamani me nashndwa kuelewa ! Hvi ukiambiwa, your admission is succefuly , utakua umepata chuo au? Je km jina lako halikuonekana 2nd round na 3rd inakuaje hapa. Tjulishane wakuu mana wengne tmebakiza 1 choice tu! St johns.

kama haupo kwenye list ya waliokosa maana yake upo kwenye waliopata, kwa mujibu wao.
 
Nacte ni wahuni wahuni wahuni tulianza kufanya selection tokea mwezi wa 5, form six wamepata results wameapply na majina yao yameishatoka ukiagalia kwa makini watu walioapply Nacte hawazidi 2000 ( NINA UHAKIKA NA HILI) lakini mpaka sasa wanaishia kutoa list ambayo hawajawa selected.

Nasema Nacte ni wahuni walipotoa list ya watu ambao hawakuwa selected 1st August (second Round) yalikuwa majina 227 juzi wametoa chance ya 3rd Round wamerudisha majina yale 227 ina maana hakuna aliyechaguliwa 2nd round????

Huu mfumo wa Nacte ni mbovu mbovu sijawai kuona ukiingia kwenye office zao pale karibia na Chuo cha TRA watu wanaofanya selection ni watatu tu (3) sijui kama wana sifa za kuselect watu.

ONYO KWA NACTE

Huu mfumo mnaotumia kushirikiana na TCU utagalimu elimu ya Tanzania
 
Msijali wadau yatatoka tu... Mi pia ni wa equivalent ila nishapata UDOM mie na mabest zangu wengi tu...
 
NACTE imemfanya best wangu kachanganyikiwa vyuo vyote alivyoomba vimeshatoa but hana atakimoja alicho pata,sasa sijui ni mtell awaibukie TCU au ana weza akapangwa late????NACTE wilisema lazima mtu anae tumia diploma awe na GPA y 2.7 Yeye ana 3.1,Sasa mnasemaje wadau??kuna kitakacho zaliwa kweli??NB aliaambiwa amemit minimum qualification na kwenye waliokosa jina halipo,msaada Tafadhali,
 
Website ya nacte wanaweka mzigo wenu maana hata sasa haifunguki
 
ishu ni pale unapokuwa umebakiwa na vyuo viwili katika selection yako ..kamoyo kanadunda.!

Mi pia nimebakiwa na vyuo vi2 tu.
Hope mzigo ndio wanautumbukiza maana site yao iko bize muda sasa.
Lets pray naona sasa ni zamu yetu wakongwe
 
mm pia ni mmoja wenu ila nimepata IFM, kama vp na nyiye pitieni vyuo mlivyo apply
 
Yani mi nakosa raha kabisa rait wangejua ninavyojisikia wasingetufanyia hv. Yan sis tumeappy tangu mwez 5 lakn wezetu wa form 6 wamepata majibu ambao wamechelewa kuapply. Na siye tupo wachache wanashindwaje kutuhendo

poleni yatatoka tu.
 
Haya jamani na mzumbe washatoa na watu wa equivalent wapo
 
dah mie nimekosa kote bdo nangoja N.I.T ambako ndo nlifanya chaguo la kwanza na la pili...nikikosa na hapo ndo bas nachoma mkaa nymbn mie
 
Haya jamani na mzumbe washatoa na watu wa equivalent wapo

Mimi nashangaa wakuu wanakalia kulalamika angalie vzr kwenye vyuo vilivyotoka ambavyo mmeomba sio mpaka mpangiwe chaguo la kwanza mliloomba wakuu changamkeni.mzumbe wametoa kama mliomba chungulieni na humo
 
dah mie nimekosa kote bdo nangoja N.I.T ambako ndo nlifanya chaguo la kwanza na la pili...nikikosa na hapo ndo bas nachoma mkaa nymbn mie

Usikate tamaa mkuu... Utapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…