NACTE wafanya mabadiliko

'Umarr P

Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
22
Reaction score
1
Nacte sasa imeanza kuonesha uhai kwa wanafunzi wa diploma baada ya sintofahamu kwa muda mrefu... Unaweza kuingia kwenye profile yako ukaona mabadiliko waliyoyafanya..
 
Mimi mpaka sasa hakuna mabadiliko yoyote
 
Kwangu wameniandikia selected, lakini wamesema majina wameyapeleka chuo husika kwa uhakiki... Baada ya hapo wataweka confirmation kama chuo hucka wamekukubali au wamekuacha
 
hata mm pia
but j3 c ndo mwisho (cheking in progress)
 
Du!! Kizazi kipya majanga kweli. Sasa chuo watafuta cha nini dogo na unashinda kwenye mitandao si ugoogle hilo neno basi kuonyesha kweli unajitambua. Eti nini maana ya eligibility (maana yake ni hustahili kujiunga na elimu ya juu kasome twisheni kwaza)
 

Hahahahaha
 
Mie hivyo hivyo tu, tutapata chuo kweli?

Achaneni na mambo ya profile, nendeni moja kwa moja kwenye vyuo mlivyokuwa mmechagua! Karibia vyuo vyote vimeshatema sasa huko NACTE mnafuata nini tena wakuu? Mimi ya kwangu iko vile vile lakini chuo nimepata SUA! Eti niwe calm wakati wanashughulikia!!
 

HA HA HA HA HA HA .... Xa unataka aka google utamjuaje kama ye ni B R N ?
 

Sasa kam mim nimeangalia kwenye vyuo vyote hamna jina lakn profile nmeandikiwa selected
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…