Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mpaka sasa hakuna mabadiliko yoyote
Eti mini mana ya eligible
Du!! Kizazi kipya majanga kweli. Sasa chuo watafuta cha nini dogo na unashinda kwenye mitandao si ugoogle hilo neno basi kuonyesha kweli unajitambua. Eti nini maana ya eligibility (maana yake ni hustahili kujiunga na elimu ya juu kasome twisheni kwaza)
hata mm pia
but j3 c ndo mwisho (cheking in progress)
in progress duuuuuuuuuuui
Mie hivyo hivyo tu, tutapata chuo kweli?
:thumbup:yaa tunapata c ndo wanaendelea wameanza jana so mpaka leo jion nauhakika wote itakua powa au kesho j3
:thumbup:
Mie hivyo hivyo tu, tutapata chuo kweli?
Du!! Kizazi kipya majanga kweli. Sasa chuo watafuta cha nini dogo na unashinda kwenye mitandao si ugoogle hilo neno basi kuonyesha kweli unajitambua. Eti nini maana ya eligibility (maana yake ni hustahili kujiunga na elimu ya juu kasome twisheni kwaza)
Achaneni na mambo ya profile, nendeni moja kwa moja kwenye vyuo mlivyokuwa mmechagua! Karibia vyuo vyote vimeshatema sasa huko NACTE mnafuata nini tena wakuu? Mimi ya kwangu iko vile vile lakini chuo nimepata SUA! Eti niwe calm wakati wanashughulikia!!