Young Kibaka
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 319
- 46
Sawa Mkuu,tumekupata still the Qstn remain when are they going to display the names.Please find out for us if you don't mind cause this is our current fever.
KUNA TAARIFA fake NA ZISIZO fake. NAKUHAKIKISHIA KUWA HII TAARIFA NI HALISI PAMOJA NA KWAMBA CHANZO CHA TAARIFA NI UKURASA WA FACEBOOK.
KUMBUKA TAARIFA ZOTE ZOTOLEWAZO FB SIYO UZUAHI KAMA UZANIAVYO.
ni kweli kwamba kuna taarifa ambazo ni za uhakika ambazo zinapatikana fb, ila zipo ambazo ni feki. Kumbuka ile page feki ya NECTA iliyotoa taarifa feki kuhusu siku ya kutangazwa kwa matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012. Baadae NECTA wenyewe wakajibu kupitia vyombo makini vya habari, kua ile taarifa haikutoka kwao. Taarifa kuhusu TCU na NACTE hupitia website zao kwa kushirikiana na vyombo makin vya habari kama radio na Tv!
KWA hiyo MPAKA SASA BADO UJAAMINI KUWA NACTE WAMETOA TAARIFA TENA AMBAYO NI SAHIHI KWA KUPITIA FB.
matangazo yote haya ya nn?
wao waachie kitu haraka