Nacte wamekwisha toa matokeo ya vyuo?

Nacte wamekwisha toa matokeo ya vyuo?

kaka miye

Senior Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
172
Reaction score
42
Nimeingia kwenye facebook yao naona watu wanapongezana kwa kuchaguliwa kupata vyuo je kuna mwenye uhakika naomba tujulishane
 
Yap?wamekwisha toa selection but ni vyuo vya afya tu ndo wametoa na kwa yule ambae amechaguliwa anakuta pameandikwa chuo chake alichochaguliwa na kwa wale ambao hawakuchaguliwa hawakuti mabadiriko yoyote yale mkuu.
 
ok asante kwa taarifa je kwa vyuo vingine unatakiwa kuomba tena au inakuaje?
 
Msidanganyane saana,selection iliyotolewa ni kwaajir ya wale wanao kwenda kufundishwa masomo ya math&sayans katika ngaz ya stashada tu kwene chuo cha monduli,but ngaz ya chet wik ijayo.
 
Back
Top Bottom