Yap?wamekwisha toa selection but ni vyuo vya afya tu ndo wametoa na kwa yule ambae amechaguliwa anakuta pameandikwa chuo chake alichochaguliwa na kwa wale ambao hawakuchaguliwa hawakuti mabadiriko yoyote yale mkuu.
Msidanganyane saana,selection iliyotolewa ni kwaajir ya wale wanao kwenda kufundishwa masomo ya math&sayans katika ngaz ya stashada tu kwene chuo cha monduli,but ngaz ya chet wik ijayo.