Nacte wameninyima nafasi kwasababu ambayo haipo kwenye Guidebook. Niwafanyeje?

Nacte wameninyima nafasi kwasababu ambayo haipo kwenye Guidebook. Niwafanyeje?

Sitaki kuamini

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
343
Reaction score
1,021
Form 4 & 6nimemaliza mwaka 2015 &18 respectively umri ni 26.
Hawa jamaa wamekosa vigezo vyote vya kunizuia wakatafuta hata ambavyo havipo kwenye vigezo vyao wenyewe.
Hii sababu haikuwepo na haipo kwenye guidebook ya mwaka huu
Nawashitaki
Is there any lawyer for hire out there?
EE3F3CE0-5159-4A66-8197-10963347888A.jpeg
 
kinachoniuma ni mabosi walikuwa washanipa greenlight ya kwenda kupiga kitabu sharti likiwa ni kusoma ndani ya mkoa huu ninaofanyia kazi pekee.
 
Ulitakiwa ujue iko kigezo kabla huja apply mkuu, May be umeangalia entry requirements pekee kumbe kuna vigezo vingine ulitaliwa uvijue. Swali je wapo ambao wamemaliza kabla ya 2018 wakapata??
 
Form 4 & 6nimemaliza mwaka 2015 &18 respectively umri ni 26.
Hawa jamaa wamekosa vigezo vyote vya kunizuia wakatafuta hata ambavyo havipo kwenye vigezo vyao wenyewe.
Hii sababu haikuwepo na haipo kwenye guidebook ya mwaka huu
Nawashitaki
Is there any lawyer for hire out there?
View attachment 2685537
Ili uwe Padre ni LAZIMA uwe Mkristo. Lakini, kuwa Mkristo siyo kigezo pekee cha kukufanya uweze kuwa Padre. Ni kweli unaweza ukawa Mkristo, lakini, yawezekana miaka miwili iliyopita ndipo ulipobadili dini kutoka Uislamu kuja kwenye dini ya Ukristo uliyonayo hivi sasa, hivyo unaweza kukosa sifa ya kuweza kuwa Padre licha ya kwamba wewe ni Mkristo safi.
Hivyo basi, nakushauri ukubali matokeo na Kisha songa mbele.
 
Kama uko karibu na chuo nenda kawaone au tuma mtu. Kigezo kama kilivho hakina maana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kinachoniuma ni mabosi walikuwa washanipa greenlight ya kwenda kupiga kitabu sharti likiwa ni kusoma ndani ya mkoa huu ninaofanyia kazi pekee.
Sasa mbona umemaliza form four nje ya muda walioweka wao ndugu?
Ok,kama umeonewa basi omba mafinga clinical officers pale kwasabu kipo iringa pia
 
Ata Mimi sitaki kuamini mchumba chumvi wanakukamia kukupa admission yako ukachimbe kitabu Sasa kwa kigezo Cha kipuuzi kama hicho aisee
 
Back
Top Bottom