Sitaki kuamini
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 343
- 1,021
Kama hawakuweka basi hilo ndilo kosa laoMbona hawakuweka kama ni admission requirements?
Ili uwe Padre ni LAZIMA uwe Mkristo. Lakini, kuwa Mkristo siyo kigezo pekee cha kukufanya uweze kuwa Padre. Ni kweli unaweza ukawa Mkristo, lakini, yawezekana miaka miwili iliyopita ndipo ulipobadili dini kutoka Uislamu kuja kwenye dini ya Ukristo uliyonayo hivi sasa, hivyo unaweza kukosa sifa ya kuweza kuwa Padre licha ya kwamba wewe ni Mkristo safi.Form 4 & 6nimemaliza mwaka 2015 &18 respectively umri ni 26.
Hawa jamaa wamekosa vigezo vyote vya kunizuia wakatafuta hata ambavyo havipo kwenye vigezo vyao wenyewe.
Hii sababu haikuwepo na haipo kwenye guidebook ya mwaka huu
Nawashitaki
Is there any lawyer for hire out there?
View attachment 2685537
Hilo ni la msongi zaidi. Vigezo vya mfukoni si sawa.Kesho naenda wizarani Dodoma
Omba Private unwfail wapi.kinachoniuma ni mabosi walikuwa washanipa greenlight ya kwenda kupiga kitabu sharti likiwa ni kusoma ndani ya mkoa huu ninaofanyia kazi pekee.
Soma vizuri mwongozo yaweza ikawa wapo sahihiHawa jamaa wamekosa vigezo vyote vya kunizuia wakatafuta hata ambavyo havipo kwenye vigezo vyao wenyewe.
Babu umepita na ID 2 kwenye uzi mmoja umevurugwaKesho naenda wizarani Dodoma
Sasa mbona umemaliza form four nje ya muda walioweka wao ndugu?kinachoniuma ni mabosi walikuwa washanipa greenlight ya kwenda kupiga kitabu sharti likiwa ni kusoma ndani ya mkoa huu ninaofanyia kazi pekee.