NACTE wananicheleweshea matokeo, naomba ushauri

NACTE wananicheleweshea matokeo, naomba ushauri

sadi bby

New Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
4
Reaction score
6
Habari zenu wana jamvi.

Mimi ni mwanafunzi nime maliza diploma mwaka huu 2014 name nina nia ya kuendelea na masomo yangu na matokeo ya chuo nilicho maliza yako NACTE tayari ila kila nikifatilia huko NACTE naambiwa leo kesho kila siku wana tudanganya wataweka matokeo tumalizie application na mpaka sasa zimebaki siku 11 bado hatuja maliza application.

Naombeni ushauri nifanyaje kila siku nacte wanatudanganya muda nao unaenda na tumeshalipia.
 
Kama tatizo ni la chuo chenu kuchelewa kupeleka matokeo wape muda ,ila, kama tatizo ni systems yao ni vema ukaenda ofisini kwao uka appy hapo hapo ukamalizana nao
 
Back
Top Bottom