Habar zenu wanajamvi. Hiv nacte mbona wapo kimya, wanafunzi waliomba chuo kupitia nacte majina yao hayaonekan kwenye vyuo ambavyo vimetoa majina. Kama kuna mtu anafahau atutaarifu kuhusu hili mana marafiki zangu hawana raha kabsa na wao nacte ndo wapo kimya

Asanten wakuu. Ngoja niangalie vizur