NACTE wanatoa lini selection

NACTE wanatoa lini selection

Barhearty

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2013
Posts
319
Reaction score
29
Habar zenu wanajamvi. Hiv nacte mbona wapo kimya, wanafunzi waliomba chuo kupitia nacte majina yao hayaonekan kwenye vyuo ambavyo vimetoa majina. Kama kuna mtu anafahau atutaarifu kuhusu hili mana marafiki zangu hawana raha kabsa na wao nacte ndo wapo kimya
 
kuwa mpole mana ni jana tu wametoa tangazo la third round application na majina ya watu walokosa nafasi.pitia utaona
 
Habar zenu wanajamvi. Hiv nacte mbona wapo kimya, wanafunzi waliomba chuo kupitia nacte majina yao hayaonekan kwenye vyuo ambavyo vimetoa majina. Kama kuna mtu anafahau atutaarifu kuhusu hili mana marafiki zangu hawana raha kabsa na wao nacte ndo wapo kimya

Mbona baadhi wameshajua tayari wamepangiwa wapi mkuu....mimi nina rafiki yangu hapa kitaa amecheck kapangiwa Udsm Bsc in Computer Engineering and Information Technology nenda kwenye sitez za vyuo ulivyoomba
 
Vuta subira mkuu tupo wengi sana tunasubiri hiyo kitu,wala usiwe na shaka
 
Back
Top Bottom