NACTE wangefanya kama TCU

NACTE wangefanya kama TCU

Tar 24. Sisi nacte nafasi zipo elfu 30 naa, walio apply elfu 17, waliofanya machaguo watu elfu 15 machaguo yaliyofanya ni elfu 73 naa, ila machaguo elfu nne tu ndio eligible ambayo ndio first batch wataya release majina tar 22.
 
Back
Top Bottom