Nacte wapo kimasilahi zaidi wala sio kuwasaidia wenye diploma kupata degree

Nacte wapo kimasilahi zaidi wala sio kuwasaidia wenye diploma kupata degree

Basegeta

Senior Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
110
Reaction score
11
NACTE wanaonyesha udhaifu mkubwa sana kana kwamba hawawezi kazi:mfano:
wana applicants wachache kuliko wale wa TCU lkn
1.mpaka sasa hawajafanikiwa kutoa majina wanafunzi wote waliopata vyuo wa 1st and 2nd round applicants, mf walioomba MUHAS, CUHAS,na n.k.
:A S kiss:
2.kwa baadhi ya wale waliopata nafasi wamechaguliwa ktk machaguo ya 4 na 5 wakati nafasi za machaguo yao ya 1, 2, na 3 bado zipo wazi ilihali sifa wanazo
3.wanafunzi wachache waliochaguliwa na nacte kutotambulika na vyuo husika eg ruco...
kwa hayo na mengine mengi naona nacte wapo kwa ajili ya elfu 50 zetu na walasio kutusaidia
:A S-fire1:
 
Back
Top Bottom