NACTEVET nchi nzima hawapokei simu, Dkt. Rutayugwa unafanya nini hapo ofisini?

NACTEVET nchi nzima hawapokei simu, Dkt. Rutayugwa unafanya nini hapo ofisini?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Watoto wanahangaika kuomba vyuo vya kati ambavyo viko chini ya NACTEVET. Hawapokei simu na kuna mambo muhimu yanayohitaji ufafanuzi. Unapiga simu zote hazipokelewi nchi nzima.

Rutayugwa unafanya nini hapo ofisini? Uzembe of the highest degree exemplified by this!
 
Hawa majamaa wasumbufu sana. Vipi una shida nao nikupe namna ya kuwapata
 
Back
Top Bottom