Colly 7
Member
- Jul 27, 2022
- 95
- 449
Habari wana JamiiForums,
Nilisoma National Institute of Transport (NIT), Diploma in Civil Engineering. Wakati wa application mwaka 2020 nilichagua NIT na DIT, lakini nilichagua na kujiunga NIT.
Sasa ninapofuatilia AVN kwa ajili ya kuendelea na Bachelor, mfumo wa NACTVET unaonyesha DIT badala ya NIT, na pia unaonyesha “Result Status: Not Submitted”, licha ya mimi kusoma na kuhitimu NIT.
Maswali yangu ni:
1. Taarifa ya DIT imeingiaje kwenye mfumo wa NACTVET?
2. Tatizo lipo NIT au NACTVET?
3. Je, NIT ilishawasilisha taarifa/results zangu?
4. Nani mwenye mamlaka ya kurekebisha taarifa hizi?
5. Nifanye nini ili nipate AVN?
Kero kubwa ni kwamba tatizo hili linanizuia kupata AVN na hivyo kunifanya nishindwe kuendelea na mchakato wa kujiunga Bachelor mwaka huu. Naomba mwenye uzoefu anisaidie kuelewa pa kuanzia na nani wa kuwajibika.
Soma