NACTVET (NACTE) huwa wanatoa Award Verification Number (AVN) kwa watu waliomaliza Diploma au Advanced Diploma. Namba hiyo hutumika kwenye admission mbalimbali, ikiwemo za vyuo vikuu kwa wanaotaka kujiendeleza, pamoja na kwenye mabaraza ya kitaaluma.
Sasa shida iko hapa: unapewa AVN kwa kulipia, halafu baada ya muda kidogo, inaweza kuwa mwaka mmoja au zaidi, ukitaka kuitumia unaambiwa namba hiyo haipo au si sahihi, wakati ni namba hiyo hiyo uliyopewa.
Sasa nashindwa kuelewa kama kuna expire date ya AVN au ni kama kuna subscription fee, maana ukienda tena kwenye tovuti yao unaambiwa ulipie tena.
Pia sijui kama matokeo ambayo huwa yameunganishwa (attached) na AVN ndiyo yanayoexpire au vipi.
Aisee, wanyonge tunaumia. Hatujajipata bado.
Naomba kuwasilisha.
Soma pia
Tamko la awali ~ NACTVET: Tunakabiliwa na changamoto ya kimtandao, Tunashughulikia kuhakikisha huduma zetu zote za kimtandao zinarejea
UTATUZI: NACTVET: Tatizo la kimtandao lililosababisha kukosekana kwa huduma zetu za mtandaoni limetatuliwa

- Chuo Kikuu cha Iringa, tuliohitimu Diploma 2026 tunapata changamoto ya kupata AVN
- Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) kinachelewa kupitisha matokeo ya Level 6 kwenye mfumo wa NACTVET