A
Anonymous
Guest
Hello habari,
Malalamiko yamekuwa mengi kwa wanafunzi wa clinical officer kwa vyuo vingi hapa Tanzania, wanafunzi wanafelishwa makusudi, vyuo vingi wanaopata pass hata robo ya darasa hawafiki, wanaopata sup wakienda kuzifanya wanafelishwa tena na wanapata Repeating Modules hivyo inawalazimu kurudia mwaka. Na wanaopata repeating module wakija kuzifanya tena wanafelishwa (Discontinue)
Naomba mamlaka husika ilifanyie uchunguzi hili kwani malalamiko yamekuwa mengi sana. Inasikitisha kuona chuo x wanafunzi waliofaulu kwa kupata pass ni wanne tu huku wengine wote wakipata sup, repeating modules na disco.
Matokeo yametoka sio muda na ni kilio tu kwa wanafunzi na wazazi. Kama number ya wanafunzi inahitajika sio kubwa ni bora waanze kucontrol kuanzia kwenye admission.
Tunarudishana nyuma sana jamani.