Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni tatizo Sana hili mkuu.... Vilaza ni wengi sana huko makazini... 🥸 🥸 🥸.Mihitani ya kitaifa pia inavuja hovyo hovyo and no one who cares tuna taifa /tunaenda kuwa na taifa la hovyo sana
Hakuna anaye kurudisha nyuma uwezo wako tu ni mdogoTunarudishana nyuma sana jamani.
Katika Jambo ambalo mpaka Leo najiuliza, huyu aloruhusu Kidato Cha Nne mwenye D mbili akasomee CO, aliwaza kwakutumia Makalio???. .Hello habari,
Malalamiko yamekuwa mengi kwa wanafunzi wa clinical officer kwa vyuo vingi hapa Tanzania, wanafunzi wanafelishwa makusudi, vyuo vingi wanaopata pass hata robo ya darasa hawafiki, wanaopata sup wakienda kuzifanya wanafelishwa tena na wanapata Repeating Modules hivyo inawalazimu kurudia mwaka. Na wanaopata repeating module wakija kuzifanya tena wanafelishwa (Discontinue)
Naomba mamlaka husika ilifanyie uchunguzi hili kwani malalamiko yamekuwa mengi sana. Inasikitisha kuona chuo x wanafunzi waliofaulu kwa kupata pass ni wanne tu huku wengine wote wakipata sup, repeating modules na disco.
Matokeo yametoka sio muda na ni kilio tu kwa wanafunzi na wazazi. Kama number ya wanafunzi inahitajika sio kubwa ni bora waanze kucontrol kuanzia kwenye admission.
Tunarudishana nyuma sana jamani.
Zaman kwenye hvyo vyuo ilikuwa mteremko tu lakin sahv hata ukitoboa ajira hamna na ukipata unalipwa 150,000 kwa mweziUnaenda kusoma Clinical officer, una pass za form four D 2, Kwa nini usifeli..... Eti daktari mtarajiwa wa TAMISEMI 🥴🥴🥴
. Kabisa mkuu, sasa hivi tunaita vyuo vya kata... Unatembea hatua km 1, kuna college ya afya.....Zaman kwenye hvyo vyuo ilikuwa mteremko tu lakin sahv hata ukitoboa ajira hamna na ukipata unalipwa 150,000 kwa mwezi
Hata hvyo navyo vimekuwa vingi mno kama shule za msingi