Secret person
JF-Expert Member
- Sep 23, 2019
- 334
- 807
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) ninaomba wajitathmini wanachotufanyia sio sawa.
Habari naomba niwasilishe changamoto mbili zinazonikabili mpaka muda huu na nimeshindwa kupata msaada wowote kutoka kwa watu wa nactevet nje kuonjesha juhudi za Hali na mali.
1. Nimepata changamoto ya kupata control number wakati nikiwa ninaomba 'Award Verification Number' AVN (AVN NUMBER) hii ni namba ya matokeo kwa waliomaliza ngazi ya Diploma na kutaka kujiendeleza.
Hadi muda huu ninaandika nimefika Ofisi zao Dodoma sijapata msaada nikaenda Ofisi ya Dar nayo nimeshindwa kupata control number pekee ili niweze kulipia AVN number ili niombe chuo, kila nikifuatulia wanasema suala langu liko kwenye foleni japo muda wa kuomba chuo unafika tamati tarehe 10/8/2025 nikiwa sijapata msaada wowote ule hadi muda huu.
2. Changamoto hii imemtokea rafiki yangu ambaye aliomba AVN NUMBER na kupewa alipojaribu kuomba chuo GPA iliyokwenye transcript tofauti na ya kwenye mfumo ambapo mpaka sasa ameshindwa kuomba chuo.
JamiiForums tunaomba mtusaidie ili NACTVET watusaidie kushughulikie upatikanaji wa AVN NUMBER maana karibia OFISI zote nilizoenda nimekuta watu wengi wanachamgamoto hii.
Hawapokei namba za OFISI.
Ukiwatafuta /kuwafuata ofisi zao hakuna msaada watakaokusaidia zaidi ya kusema suala lako liko kwenye foleni linafanyiwa kazi pasipo na matumaini yoyote.
Tunaomba NACTVET WATUSAIDIE KWA UHARAKA KUPATA AVN NUMBER ILI TUOMBE CHUO.
Ufafanuzi wa Baraza, soma hapa ~ NACTVET: Baraza limeongeza kasi ya kushughulikia maombi yote ya AVN Number kwa dharura
Pia soma ~ Wahitimu wengi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima tunakwama kutambulika katika Mfumo wa NACTVET