NACTVET website yenu kwa ajili ya udahili mbona haifunguki ?

Travis_Kitengo

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2021
Posts
329
Reaction score
919
Wakuu, husika na kichwa hapo nimelimdanyia maombi ya chuo ndugu yangu kwa ngazi ya diploma lakini kila siku nikijaribu kuingia kwenye website ya nactvet CAS mfumo unagoma.

Nashindwa kujua hii shida ni kwangu tu au ja wengine mmekutana na hii changamoto?


 
Hawa jamaa ni jipu na kero kubwa wamweka namba za maulizo lakini mm nilipiga siku nzima hazipokelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…