Kassim Awadh
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 884
- 187
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe pesa ulipewa na nani? Angalia hili suala la mkopo ni la kisheria labda utaweza kuwakwepa kwepa kama huna mpango wa kuajiriwa nchini na au huna mpango wa kwenda kusoma nje ya nchi.Grace period watatoa kulipa silipi, unampa pesa nani hapo mafisadi?
Kwani wewe pesa ulipewa na nani? Angalia hili suala la mkopo ni la kisheria labda utaweza kuwakwepa kwepa kama huna mpango wa kuajiriwa nchini na au huna mpango wa kwenda kusoma nje ya nchi.
Nina jamaa yangu alipata nafasi ya kusoma Ufaransa, alipokwenda kutafuta visa ubalozi wa Ufaransa akaambiwa apeleke document inayoonesha kuwa hadaiwi na loan board. Kwa hiyo elewa kuwa kila baada ya muda wanaexpand means za kuwabana loan beneficialies, na hivi vitambulisho vya uraia nazani hiyo na yenyewe itatumika kama njia ya kupata defaulters.
Potelea mbali mie nadaiwa tokea 1996 sijalipa na hawatanipata! kodi walizokula zinawatosha nafikiri na wao pia wanaona aibu kufuatilia!