Nadhani adhabu ya Viboko iwe ni moja wapo ya Adhabu Vyuo Vikuu Vyote Nchini Tanzania

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
3,149
Reaction score
14,407
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane

Nimekuwa nikisema mara kadhaa ya kwamba,mwanadamu yeyote aliye na ngozi nyeusi ni ngumu sana kumkontroo bila maamuzi magumu na yanayoumiza!

Sisi ngozi nyeusi tuko tofauti kabisa katika uelewa ukilinganisha na ngozi nyeupe!

Hebu fikiria hivi,

Mwanafunzi wa chuo kikuu (Udsm) ambaye Yuko mwaka wa 3,anakunywa juisi ya box au kopo na akimaliza kunywa hiyo Juisi anatupa kopo au box la hiyo juisi aliyomaliza kuinywa,na Kibaya zaidi mwanafunzi huyo huyo atasimama au atachuchumaa kando ya barabara atakojoa !,bila kujali uchafuzi wa mazingira yeye ataona Yuko sawa!

Tulitegemea yeye kwakuwa ni msomi mzuri na anaelewa namna ya kutunza mazingira,hakupaswa kutupa chupa ovyo pamoja na kukojoa ovyo kama mlevi!

Unadhani mtu kama huyu bila Viboko vizito ataacha tabia ya kutupa taka ovyo?

Juzi tu mmeona namna ambavyo vitoto vidogo vya kike badala ya Kusoma vyenyewe vinachukuana video vinatwangana kisa wanaume!

Yaani serikali inahangaika kutoa mikopo na kuhakikisha vinasoma Ili kufikia malengo katika maisha haya Ili tusiwe na jamii ya watu wajinga,wao wanaenda kutwangana makonde wakigombea mti mkavu ambao hauchimbwi dawa!

Unadhani Hawa bila Viboko watarudi kwenye mstari?

Muafrika bila Viboko ni kama punda,hawezi kusonga mbele!

Viboko vitarudisha nidhamu chuoni,na kama kutakuwa na mzazi ambaye atashindwa kumpeleka mwanaye kwenye Vyuo vitakavyokuwa vinatoa adhabu ya Viboko,basi apeleke mtoto wake nje ya nchi ambako hakuna Viboko!

Huu ujinga wa kulealea kipumbavu kumefanya Vijana wanapofika vyuoni wanajisahau na wanaharibika sana!

VIBOKO NDIYO NJIA PEKEE YA KUONDOA UJINGA KWENYE UBONGO WA MTOTO WA KIAFRIKA!
 
Wale watoto ule ujinga walioufanya watajutia maisha yao yote yaliyobaki. Ujinga Waliamua kufanya kwanini pia Waliamua kurekodi?. Kurekodi wakarekodi kwanini wamesambaza? Ona sasa wanaangamia kwa kukosa marriage.
Nb. Hilo la viboko sidhani ka litasaidia chochote. Kuna shida huko tulipotoka Lakin sijui ni wapi ili turekebishe.
 
Malezi tu. Wtt utawajua wamepata malezi ya aina gani wanapokaa na jamii. Huko Uni hata uwapige kwa mijeledi kama hawakunyooka tabia tangu wakiwa shule za awali na secondary sio rahisi kubadilika ukubwani. Khulka ni kitu kigumu sana kukibadilisha. We angalia hata baadhi ya watu wazima na familia zao lkn wana tabia za ovyo ovyo
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane

Nimekuwa nikisema mara kadhaa ya kwamba,mwanadamu yeyote aliye na ngozi nyeusi ni ngumu sana kumkontroo bila maamuzi magumu na yanayoumiza!

Sisi ngozi nyeusi tuko tofauti kabisa katika uelewa ukilinganisha na ngozi nyeupe!

Hebu fikiria hivi,

Mwanafunzi wa chuo kikuu (Udsm) ambaye Yuko mwaka wa 3,anakunywa juisi ya box au kopo na akimaliza kunywa hiyo Juisi anatupa kopo au box la hiyo juisi aliyomaliza kuinywa,na Kibaya zaidi mwanafunzi huyo huyo atasimama au atachuchumaa kando ya barabara atakojoa !,bila kujali uchafuzi wa mazingira yeye ataona Yuko sawa!

Tulitegemea yeye kwakuwa ni msomi mzuri na anaelewa namna ya kutunza mazingira,hakupaswa kutupa chupa ovyo pamoja na kukojoa ovyo kama mlevi!

Unadhani mtu kama huyu bila Viboko vizito ataacha tabia ya kutupa taka ovyo?

Juzi tu mmeona namna ambavyo vitoto vidogo vya kike badala ya Kusoma vyenyewe vinachukuana video vinatwangana kisa wanaume!

Yaani serikali inahangaika kutoa mikopo na kuhakikisha vinasoma Ili kufikia malengo katika maisha haya Ili tusiwe na jamii ya watu wajinga,wao wanaenda kutwangana makonde wakigombea mti mkavu ambao hauchimbwi dawa!

Unadhani Hawa bila Viboko watarudi kwenye mstari?

Muafrika bila Viboko ni kama punda,hawezi kusonga mbele!

Viboko vitarudisha nidhamu chuoni,na kama kutakuwa na mzazi ambaye atashindwa kumpeleka mwanaye kwenye Vyuo vitakavyokuwa vinatoa adhabu ya Viboko,basi apeleke mtoto wake nje ya nchi ambako hakuna Viboko!

Huu ujinga wa kulealea kipumbavu kumefanya Vijana wanapofika vyuoni wanajisahau na wanaharibika sana!

VIBOKO NDIYO NJIA PEKEE YA KUONDOA UJINGA KWENYE UBONGO WA MTOTO WA KIAFRIKA!
We umezoea fimbo kule kwenu, tatizo lako umetokea jamii isiyostaarabika inayoamini adhabu pekee ht kwa mtu mzima ni fimbo. Kastaarabike we mkurya, kila mwanamke kule kwenu ana alama ya vipigo, mwanaume hakosi alama ya kukatwa kisu au panga, hayo yaishie kule kwenu huku Dsm watu wamestaarabika km huuwezi ni bora urudi kwenu
 
Back
Top Bottom