Nadhani adhabu ya Viboko iwe ni moja wapo ya Adhabu Vyuo Vikuu Vyote Nchini Tanzania



NG'OMBE kama wewe unastahili Kukung'utwa mboko hadi uchakae
 
chuo wanasoma watu wazima wengine wa gavoo wanaojiendelez umri mkubwa kupita hat walim na wao wakikosea wachapwe chif wangeweka mkazo tu wa fine na kufkuzwa bila upendeleo weng wangekua na nidham
 
Tembea uone.
Hilo ni tatizo la utamaduni wala halina uhusiano wowote na rangi ya ngozi.
Nilipokuwa India nilijionea mambo ya ajabu kuliko hayo unayoyazungumza, unaweza ukasafiri kwa treni ukaona watu wamekupa mgongo mnawapita wakikata gogo kweupe. Nilipouliza kulikoni! Nikaambiwa wakati wahindi wanadai uhuru wao toka kwa waingereza, baba wa taifa la India mzee Mahatma Ghandi alitumia njia zisizo na vurugu wala fujo kudai uhuru wao, na katika mbinu zake aliwaambia wenzake kuwa mzungu anapenda usafi hivyo wakati wa usiku jisaidieni katika njia wanazopita hao wakoloni kutoka nyumba zao mpaka ofisini mwao. Hilo lilifanyiwa kazi kisawasawa, mzungu alikuwa akipita njiani ni mwendo wa shit! shit! shit! Tatizo baada ya kupata uhuru alisahau kuwaambia kuwa inatosha sasa basi, wanaendelea mpaka sasa.
Viboko havisaidi, badala yake utatengeneza tatizo lingine badala ya kutatua tatizo lililo kuwepo.
Viwepo vyoo vya kutosha vya kujisaidia na mapipa ya taka yawepo ya kutosha, tukishakuwa navyo hivyo vitu vya kutosha akatokea mtu na kufanya mambo ya uchafuzi wa mazingira hapo sheria afuate mkondo wake.
Watoto wa kike kugombea mwanaume kuna swali la kujiuliza, je wanaume tuliyonao wanasifa za kugombaniwa? au ni wanaume waliyo hopeless?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…