TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
"Hatusemi tukafanye chaguzi za kutumia nguvu hapana, taratibu, sheria na miongozo ya uchaguzi itafuatwa lakini Jeshi na vikosi vyote vya ulinzi na usalama vikae tayari kukabiliana na hali yoyote itakayojitokeza."
" Hapo mwakani 2025 tunaenda kwenye uchaguzi mkuu na ule ndiyo uchaguzi wenye vishindo vikubwa basi itabidi nitoe tu taarifa na kuwaweka 'alert' kwamba hayo mambo yanakwenda kutokea na jeshi hatuna budi kujiweka tayari."
NB: Naona tunaanza kuwekwa sawa kiakili na kutishiwa ikiwemo ndani kutokana na kauli hii.