Tychob
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 3,972
- 5,170
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Na diamond naye keshakufa kimuziki tayari hata afanye collabo na nani hatawika tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Na diamond naye keshakufa kimuziki tayari hata afanye collabo na nani hatawika tena
Wizkid last year na mwaka huu kafanya kazi kubwa sana, na ukumbuke kuna muda alikuwa anafanya kazi kali sana ila p square davido na dbanj wakawa wanammeza, fikiria hype ya drake n.k. Jamaa alistahili tuzo zote katika catergory alizokuwepo basi, haya ya huku kwetu sijui nani kasema nini ili iwe vipi nafasi yake ni kidogo![]()
Kwanza nianze kuwapongeza Wasanii wa TANZANİA ambao walifanikiwa kuingia katika kuwania tuzo za [HASHTAG]#MTVmama2016[/HASHTAG] kwa kuwa wamezidi kuizilishia Afrika kwamba sasa muziki wetu wa Tanzania Umepiga hatua kwa kiasi kikubwa sana kutoka kuwakilishwa na msanii mmoja mpaka wasanii zaidi ya watano ni bonge la hatua sana.
Pili napenda kumpongeza [HASHTAG]#Diamondplatinumz[/HASHTAG] kwa kuzidi kuwa ambassador namba moja wa muziki wa bongofleva ndio hata anbayo imesababisha leo hii tunawakilishwa na wasanii zaidi ya watano #BİGUP DİAMOND
Tatu kwa maoni yangu japo sıtaki nieleweke vibaya lakini ni katika kuhakikidha safari ijayo kwenye mashindano wasanii wetu wajifunze kuwa kitu kimoja hii itatusaidia kuzidi kufanya vizuri, Mimi naona kauli aliyoitoa Alikiba kuhusiana na meneja wa diamond akidai alimfanyia vitendo şi vya kiungwana ni miongoni mwa sababu kubwa iliyopelekea #TZ ikose tuzo yoyote.
Nne Kauli aliyoitoa #ALİKİBA ilijenga taswira kwa wapigaji kura wa afrika mashariki kwamba wasanii wa TZ hawana UNİTY mbaya zaidi ilitoka kipindi ambacho tulikuwa tukihitajika kupiga kura kwa sana lakini mambo yakawa Tofauti mwisho wa siku kila Timu ilikuwa ikimsapoti msanii wake pekee.
Tano hili lilitokea liwe funzo kwa wasanii wetu lakini natoa wito kwa wasanii na sisi mashabiki tujifunze kuungansha nguvu zetu na kumaliza [HASHTAG]#BEEF[/HASHTAG] pindi inapofika wakati wa mashindano ya kimataifa pia wasanii wetu muanze kutafuta Collabo zenye kuwajenga kimuziki ila [HASHTAG]#Alikiba[/HASHTAG] punguza collabo za ndani tuletee za nje, Diamond rudisha mahusiano yako na wasanii wakubwa wenzio kama #WİZKİD #DAVİDO
Sita kuhusu kushindwa kwa wasanii wengine kama [HASHTAG]#VANESA[/HASHTAG] [HASHTAG]#RAYMOND[/HASHTAG] [HASHTAG]#NAVYKENZO[/HASHTAG] hawa bado wachanga na hawajajitangaza vizuri kinataifa ukilinganisha na waliokuwa washindani wao ongezeni bidii mwakani tuchukue
[HASHTAG]#kijanamzalendo[/HASHTAG] [HASHTAG]#ilovetz[/HASHTAG]. [HASHTAG]#maoniyangu[/HASHTAG]