Nadhani kuna kitu hakiko sawa huyu sio Ahmed Ally tunaemjua, aipigia kampeni CCM

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Kwa wale wataalamu wa body language na video analysts.

Kwa namna UVCCM inavyotamkwa na muonekana wa uso na matamshi yanayotamkwa vinatia shaka sana kama ni maamuzi ya Ahmed.

Pia soma: Rais Samia Suluhu Aahidi Kutoa Ndege Kwa Yanga Mchezo wa Fainali Pamoja na Milioni 20 Kila Goli

Tusifike huku , tuache vitendo na matokeo vijitangaze.

20240615_154508.jpg
 
Miaka kumi iliyopita ndio niligundua kuwa hizi simba yanga ni asset kubwa za chama tawala huo ndio ukawa mwisho wangu wa kushabikia haya matimu na ukawa mwisho kufatilia mpira wa Tanzania na mamiziki ya Tanzania. Nawashangaa sana mnaumiza vichwa kubishana matimu ya hovyo ambayo ni madalali ya ccm

Ulaya timu za kushabikia zipo kibao, mtu analipia azam tv ili aone ligie ya bongo kweli tumeumbwa tofauti.
 
Kwa wale wataalamu wa body language na video analysts.

Kwa namna UVCCM inavyotamkwa na muonekana wa uso na matamshi yanayotamkwa vinatia shaka sana kama ni maamuzi ya Ahmed .

Tusifike huku , tuache vitendo na matokeo vijitangaze .

View attachment 3035448View attachment 3035447
Mm nafikiri ndugu zangu mnakosea interpretation nzima ya jambo hili. Huyu, jamaa yupo pale stadium kama Hemed Ally na, sio kama msemaji wa Simba.

Kwa wataalam, wa uhasibu na laws, wanasema the business should be separated from the owner. Yaan kuna business na mwenye business. Hemed ni mtu mwingine na msemaji wa Simba ni mtu mwingine. Hemed yupo kama hemed na ni mwanachama wa CCM.
 
Miaka kumi iliyopita ndio niligundua kuwa hizi simba yanga Kwani ni leo umelijua hilo i asset kubwa za chama tawala huo ndio ukawa mwisho wangu wa kushabikia haya matimu na ukawa mwisho kufatilia mpira wa Tanzania na mamiziki ya Tanzania. Nawashangaa sana mnaumiza vichwa kubishana matimu ya hovyo ambayo ni madalali ya ccm

Ulaya timu za kushabikia zipo kibao, mtu analipia azam tv ili aone ligie ya bongo kweli tumeumbwa tofauti.
 
Mm nafikiri ndugu zangu mnakosea interpretation nzima ya jambo hili. Huyu, jamaa yupo pale stadium kama Hemed Ally na, sio kama msemaji wa Simba.

Kwa wataalam, wa uhasibu na laws, wanasema the business should be separated from the owner. Yaan kuna business na mwenye business. Hemed ni mtu mwingine na msemaji wa Simba ni mtu mwingine. Hemed yupo kama hemed na ni mwanachama wa CCM.
Wewe ndio hujamuelewa mtoa mada
 
Thanks

Umeiweka vizuri

Kuna wakati jaji manara did the same, na baadhi ya viongozi wa hizi timu ni makada na wanashiriki hadi chaguzi

Manji alikua diwani, mwigulu ni ccm

Sioni why loud speaker ya timu isiwe na uhuru wale wa itikadi
 
ccm haina ushawishi kuelekea 2025, wanahitaji kuonyesha tu appearance kuwa wanapendwa for the international community, the rest kwenye mambo ya kura watajua wao
 
Back
Top Bottom