Nadhani kuna kitu hakiko sawa huyu sio Ahmed Ally tunaemjua, aipigia kampeni CCM

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Miaka kumi iliyopita ndio niligundua kuwa hizi simba yanga ni asset kubwa za chama tawala huo ndio ukawa mwisho wangu wa kushabikia haya matimu na ukawa mwisho kufatilia mpira wa Tanzania na mamiziki ya Tanzania. Nawashangaa sana mnaumiza vichwa kubishana matimu ya hovyo ambayo ni madalali ya ccm

Ulaya timu za kushabikia zipo kibao, mtu analipia azam tv ili aone ligie ya bongo kweli tumeumbwa tofauti.
 
Mm nafikiri ndugu zangu mnakosea interpretation nzima ya jambo hili. Huyu, jamaa yupo pale stadium kama Hemed Ally na, sio kama msemaji wa Simba.

Kwa wataalam, wa uhasibu na laws, wanasema the business should be separated from the owner. Yaan kuna business na mwenye business. Hemed ni mtu mwingine na msemaji wa Simba ni mtu mwingine. Hemed yupo kama hemed na ni mwanachama wa CCM.
 
 
Wewe ndio hujamuelewa mtoa mada
 
Thanks

Umeiweka vizuri

Kuna wakati jaji manara did the same, na baadhi ya viongozi wa hizi timu ni makada na wanashiriki hadi chaguzi

Manji alikua diwani, mwigulu ni ccm

Sioni why loud speaker ya timu isiwe na uhuru wale wa itikadi
 
ccm haina ushawishi kuelekea 2025, wanahitaji kuonyesha tu appearance kuwa wanapendwa for the international community, the rest kwenye mambo ya kura watajua wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…