Pre GE2025 Nadhani kwa 2025 John Mnyika anafaa zaidi kugombea Urais kuliko kina Lissu na Mbowe apewe nafasi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Mnyika kajifunza mengi kwa Lissu ,Mbowe , Slaa na wengine hivyo ashakomaa na nadhani 2025 atatufaa zaidi .

1.Mjasiri

2.Mtu mwenye busara

3.Mtu mwenye uelewa mkubwa na asie kurupuka .

Upinzani mtuandalie mtu huyu
 
Kwa tiketi ya chama gani mkuu,kwa maana mwenye SACCOS kashaamua ndio maana msomi LISSU aliwasilisha barua na kutangazia umma ili kwamwai SULTAN
 
Kwenye mikutano yake ni kwenda na kiroba cha panya tu
 
Mnyika kajifunza mengi kwa Lissu ,Mbowe , Slaa na wengine hivyo ashakomaa na nadhani 2025 atatufaa zaidi .

1.Mjasiri

2.Mtu mwenye busara

3.Mtu mwenye uelewa mkubwa na asie kurupuka .

Upinzani mtuandalie mtu huyu
gombea wewe , unafaa kuliko wote na samia included
 
Mnyika kajifunza mengi kwa Lissu ,Mbowe , Slaa na wengine hivyo ashakomaa na nadhani 2025 atatufaa zaidi .

1.Mjasiri

2.Mtu mwenye busara

3.Mtu mwenye uelewa mkubwa na asie kurupuka .

Upinzani mtuandalie mtu huyu

Kama ana sifa na uwezo huo, Mwambie na Maza amuachie ili tupate kiongozi bora Tanzania.
 
Mnyika agombee ubunge ,urais pale Chadema Sioni mtu
Kuna yule mzee Mbowe(hana elimu) ,na MSOMI lissu ila hana busara hata kidogo aisee ,usomi wake haujamsaidi chochote zaidi ya kuropoka
 
Kwa nini mnamkwepa lissu mnaogopa atawafanya nini siku akiwa Rais?

R.i.p Sheikh Yahya - Mtabiri namba 1 afrika mashariki na kati.
 
Kichaa kupewa rungu ni hatarii saana ,imagine yuko chadema na anawambia chadema wajibu hoja za Mchungaji MSIGWA
 
Mnyika Hana ushawishi wa watu kumpa nchi, Kuna vijijini huko watu naamini wengi hata kumjua tu ni shida
 
Ila ukimlingajisha na viongozi wengine wa chadema huyu walau anazo sifa tatu ambazo hawa viongozi wanzake hawana;mtulivu,busara na ni msikivu
 
Back
Top Bottom