Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Kwa tiketi ya chama gani mkuu,kwa maana mwenye SACCOS kashaamua ndio maana msomi LISSU aliwasilisha barua na kutangazia umma ili kwamwai SULTANMnyika kajifunza mengi kwa Lissu ,Mbowe , Slaa na wengine hivyo ashakomaa na nadhani 2025 atatufaa zaidi .
1.Mjasiri
2.Mtu mwenye busara
3.Mtu mwenye uelewa mkubwa na asie kurupuka .
Upinzani mtuandalie mtu huyu
πππ’Kwa tiketi ya chama gani mkuu,kwa maana mwenye SACCOS kashaamua ndio maana msomi LISSU aliwasilisha barua na kutangazia umma ili kwamwai SULTAN
gombea wewe , unafaa kuliko wote na samia includedMnyika kajifunza mengi kwa Lissu ,Mbowe , Slaa na wengine hivyo ashakomaa na nadhani 2025 atatufaa zaidi .
1.Mjasiri
2.Mtu mwenye busara
3.Mtu mwenye uelewa mkubwa na asie kurupuka .
Upinzani mtuandalie mtu huyu
Mnyika kajifunza mengi kwa Lissu ,Mbowe , Slaa na wengine hivyo ashakomaa na nadhani 2025 atatufaa zaidi .
1.Mjasiri
2.Mtu mwenye busara
3.Mtu mwenye uelewa mkubwa na asie kurupuka .
Upinzani mtuandalie mtu huyu
Hata SuguMnyika agombee ubunge ,urais pale Chadema Sioni mtu
Kuna yule mzee Mbowe(hana elimu) ,na MSOMI lissu ila hana busara hata kidogo aisee ,usomi wake haujamsaidi chochote zaidi ya kuropokaMnyika agombee ubunge ,urais pale Chadema Sioni mtu
Na MDUDEπππHata Sugu
Kichaa kupewa rungu ni hatarii saana ,imagine yuko chadema na anawambia chadema wajibu hoja za Mchungaji MSIGWAKwa nini mnamkwepa lissu mnaogopa atawafanya nini siku akiwa Rais?
R.i.p Sheikh Yahya - Mtabiri namba 1 afrika mashariki na kati.
AiseeNa MDUDEπππ
Wewe kama nani ?
πππ Kwa hiyo nimebisha ?
Ila ukimlingajisha na viongozi wengine wa chadema huyu walau anazo sifa tatu ambazo hawa viongozi wanzake hawana;mtulivu,busara na ni msikivuMnyika Hana ushawishi wa watu kumpa nchi, Kuna vijijini huko watu naamini wengi hata kumjua tu ni shida