Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Sijawahi fanya huo ujingaChawa ya mama
Kwa kweli umeandika kama ambavyo mimi ningeandika pia.Binafsi mimi sio muumini wa siasa za CCM lakini kama haya mawili machache yafuatayo mnyonge mnyongeni haki yake tumpe :-
1. Kuwa msikivu , mama anasikiliza mpaka kelele na maoni ya mitandaoni na ya msingi kuya fanyia kazi .
2. Kuruhusu mikutano ya kisiasa
3. Pasipo kujali nani atanufaika kisiasa zaidi amendelea kwa nguvu zote kukamilisha miradi aliyoanzia mtangulizi wake Hayati Magufuli
Haki yake apewe
Kweli Mkuu.Mama namuunga mkono kwenye mambo mawili mhimu na pengine ndani ya moyo wake kuna mazuri zaidi, shida ilikuwa ni uamzi tu na sasa kaamua na aache kabisa kabisa kuwasikiliza watu wa msoga!
Kuwatoa kina Nape na Januari na kumruhusu Kinana aachie madaraka, hapa mama apewe mauwa yake!
Bado moja tu namuomba, akilifanya tafadhari naomba aungwe mkono na kila mpigania haki nchini, nalo ni kumuunga mkono Mpina basi!
HakikaMama namuunga mkono kwenye mambo mawili mhimu na pengine ndani ya moyo wake kuna mazuri zaidi, shida ilikuwa ni uamzi tu na sasa kaamua na aache kabisa kabisa kuwasikiliza watu wa msoga!
Kuwatoa kina Nape na Januari na kumruhusu Kinana aachie madaraka, hapa mama apewe mauwa yake!
Bado moja tu namuomba, akilifanya tafadhari naomba aungwe mkono na kila mpigania haki nchini, nalo ni kumuunga mkono Mpina basi!
Una haki ya kulaumuMsitutfutie dhambi za bure huyo chura kiziwi hana lolote
Leo nilitaka nilipie bidhaa mtandaoni yani dola 165 natakiwa kutoa 480,000?
Si utahira huo
Hakika anastahili maua yake ila subiri Nyumbu wa mzee Mbowe na matusi yaoBinafsi mimi sio muumini wa siasa za CCM lakini kama haya machache yafuatayo mnyonge mnyongeni haki yake tumpe :-
1. Kuwa msikivu , mama anasikiliza mpaka kelele na maoni ya mitandaoni na ya msingi kuya fanyia kazi .
2. Kuruhusu mikutano ya kisiasa
3. Pasipo kujali nani atanufaika kisiasa zaidi amendelea kwa nguvu zote kukamilisha miradi aliyoanzia mtangulizi wake Hayati Magufuli
Haki yake apewe
Hilo wanalufahamu ila nyumbu wanajitoa akili tuTaratibu tutamfahamu mama ni mama tu
Binafsi mimi sio muumini wa siasa za CCM lakini kama haya machache yafuatayo mnyonge mnyongeni haki yake tumpe :-