Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Kisheria kipi kiko ndani ya kingine, katiba haimo ndani ya tume ila tume imo ndani ya katiba.Kipi ni rahisi kupatikana kwa wakati hitajika?
Bora kenda shika nenda.Ya kumi utaikuta Haidom.Kisheria kipi kiko ndani ya kingine, katiba haimo ndani ya tume ila tume imo ndani ya katiba.
Hakuna hata cha rahisi kupatikana hapo mkuu.Kipi ni rahisi kupatikana kwa wakati hitajika?
Umenena vyemaKisheria kipi kiko ndani ya kingine, katiba haimo ndani ya tume ila tume imo ndani ya katiba.
Hii nchi watu hawajawahi kuwa serious mkuu na hilo ndio tatizo letu kubwa.Habari JF , kwa kifupi kabisa kwa katiba tuliyo nayo ni katiba ambayo ina upendeleo mkubwa kwa watawala na kuwapa nguvu kubwa kutawala .
Kwa maana nyingine sio katiba ya kizalendo sababu haiwapi nguvu sana wananchi na hailindi sana mali za Nchi yetu .
Chama chochote kikisha ingia madarakani kitaipenda tu .
Hivyo kupambana na kuandamana kushinikiza sheria za uchaguzi kuboreshwa ikiwemo tume huru ni kupambania watu sio Nchi .
Kama tuko serious sana nchi ni bora kuandamana Nchi nzima kudai katiba MPYA ambayo ndani yake tutapata tume huru .
Kuna watu watasema Katiba inachukua muda mrefu lakini tushachelewa sana nchi kama nchi ni bora tusichelewe zaidi .
Urahisi kupatikana haina maana ndio kina tija kuliko kingineKipi ni rahisi kupatikana kwa wakati hitajika?
Ukitaka vyote kwa pupa utapaliwa mwana Kilosa.Urahisi kupatikana haina maana ndio kina tija kuliko kingine
Hata mimi nashangaa watu kugeuka nyuzi 180!si tulikubaliana bila ya Katiba mpya hatutashiriki uchaguzi ?
Uchaguzi ndiyo unaleta viongozi wabovuNaunga mkono hoja!
Nimependa observation yako kuwa katiba hii jinsi ilivyo "Chama chochote kikiingia madarakani kitaipenda tu" kwa hiyo ni bora kupigania katiba mpya kwanza kuliko mambo ya uchaguzi.
Point taken!
Hakuna anayekukataza kuandamana kudai katiba mpya, ww anzisha tu hayo maanadamano watu wako tayari muda wote. Au tusubiri kudai mengine Hadi uwe tayari kwa maandamano ya kudai hiyo katiba mpya?Habari JF , kwa kifupi kabisa kwa katiba tuliyo nayo ni katiba ambayo ina upendeleo mkubwa kwa watawala na kuwapa nguvu kubwa kutawala .