Pre GE2025 Nadhani Maandamano ya kudai Katiba MPYA yana tija zaidi kuliko kudai Tume Huru ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nani amekuambia huo ndio mwisho wa kuandamana?
 
Mkuu wewe kwanini usiandae maandamano ya kudai katiba mpya? Hawa walioona tume inahitajika waache usiwabeze, wewe andaa ya katiba kama unaona haya hayana tija
sio kila mtu unaweza kila kitu
 
Kuna watu watasema Katiba inachukua muda mrefu lakini tushachelewa sana nchi kama nchi ni bora tusichelewe zaidi .
Naunga mkono hoja, ila hili ulifanyike, ni lazima kufanyika minimum reform ya katiba!, hivyo kama minimum reform inaweza kufanyika, kwanini tusifanye tukarekebisha katiba kuwezesha uchaguzi huru na wa haki?!.
P
 

πŸ’― πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
Nehemia , nani aliyekykataza kuandaa maandamano ya kudai katiba? Wengi wetu tunaitaka katiba mpya, tutakuunga mkono. Walichofanya chadema ni mwanzo TU wa kudai haki.
 
Naunga mkono hoja, ila hili ulifanyike, ni lazima kufanyika minimum reform ya katiba!, hivyo kama minimum reform inaweza kufanyika, kwanini tusifanye tukarekebisha katiba kuwezesha uchaguzi huru na wa haki?!.
P
Ukifanya marekebisho wakaingia CHADEMA nao kwa utamu wa katiba iliyopo hawawezi kubali ibadilishwe
 
Katiba mchakato wake ni mrefu nadhani wameliona hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…