Nadhani Mdundo wa amelowa na Yataniua tubaki hapa tutafika

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Production zetu bongo c nzuri na Biti zetu nyingi ni legevu na zisizoweza kushindana na Nigeria.

Nimekuwa naenda Club nyingi za usiku, ila Kila zinapopigwa nyimbo hizi mbili yaani Amelowa ya harmonize na Yataniua ya diamond naona kabisa ni Biti za tofauti na ni Kali sana kiasi kwamba nahisi Nigeria twaweza shindana kidogo,

Toeni maoni yenu kuhusu Biti zetu nyepesi
 
Amelowa bonge la beat, na mtaje ina bonge la beat.
 
Back
Top Bottom