Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
Aliyetengeneza hii biti alikaa chini akatulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No ni watu tofauti.. alifundishwa kazi na abbah alikua kijana wake, ila kawa mzuri sana wa ku mix nyimbo ndo mana konde na abbah wanamtumia sana kwenye mixing.mix killer ndio abbah au?
Usisahau mangdakiwe [emoji91]Production zetu bongo c nzuri na Biti zetu nyingi ni legevu na zisizoweza kushindana na Nigeria.
Nimekuwa naenda Club nyingi za usiku, ila Kila zinapopigwa nyimbo hizi mbili yaani Amelowa ya harmonize na Yataniua ya diamond naona kabisa ni Biti za tofauti na ni Kali sana kiasi kwamba nahisi Nigeria twaweza shindana kidogo,
Toeni maoni yenu kuhusu Biti zetu nyepesi
[emoji16][emoji16][emoji16]Yeah,kuna muda unasema Kwendraaa,MTU mwenyewe wa kufa kama Mimi,unaenda chooni kama Mimi[emoji16] ....Tokaaa![emoji57][emoji13][emoji13][emoji86]
Kuachwa kunauma labda baada ya kuachwa akamset arudi kwenye 18 zake halafu yeye ndio amuacheKonde! Nasikia safari hii yeye ndo kaanza kusema "Tokaaa,kwendraa....nimechoka kukubeg beg!
Jamaa nyimbo zake zote hitOutside ndo balaa aisee japo hio amelowa sijawahi kuisikiliza
Narudia harmonize ni msanii mkali sana sema ana vimambo vyake tu vya kiwaki kwenye mziki jamaa nmekubali amebarikiwa sana