ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Amelowa bonge la beat, na mtaje ina bonge la beat.Production zetu bongo c nzuri na Biti zetu nyingi ni legevu na zisizoweza kushindana na Nigeria.
Nimekuwa naenda Club nyingi za usiku, ila Kila zinapopigwa nyimbo hizi mbili yaani Amelowa ya harmonize na Yataniua ya diamond naona kabisa ni Biti za tofauti na ni Kali sana kiasi kwamba nahisi Nigeria twaweza shindana kidogo,
Toeni maoni yenu kuhusu Biti zetu nyepesi
Harmonizie ngoma zake nyingi beats zimeenda shule.
Kuna aliyofanya na Spice wa Ug nayo beat imetulia.
mix killer ndio abbah au?Ila vijana wanakaza sana production siku hizi wadau kama hermy b, abba, kimambo, mix killer wako professional sana katika kazi zao..
hata video wabongo wanajitahidi sana aisee
Harmo ni soja aisee.
[emoji2][emoji2]Konde! Nasikia safari hii yeye ndo kaanza kusema "Tokaaa,kwendraa....nimechoka kukubeg beg!
๐๐people change bhana
Ujue hata kama unampenda mtu kiasi gani kama anazingua kuna siku inafika unachoka unamtimua mazima.[emoji23][emoji23]people change bhana
Yeah,kuna muda unasema Kwendraaa,MTU mwenyewe wa kufa kama Mimi,unaenda chooni kama Mimi๐ ....Tokaaa!๐๐๐๐Ujue hata kama unampenda mtu kiasi gani kama anazingua kuna siku inafika unachoka unamtimua mazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]Yeah,kuna muda unasema Kwendraaa,MTU mwenyewe wa kufa kama Mimi,unaenda chooni kama Mimi[emoji16] ....Tokaaa![emoji57][emoji13][emoji13][emoji86]