Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Katika dunia inayoendelea kitechnology teknklojia imekuwa msaada mkubwa kwa wale wanaotaka kusonga mbele.Ila bhana kwa upande mwingine imeanza kuwa kikwazo kwa wale wasiotaka kujifunza na kubadilika. Leo tuongee kidogo nadhani ushawahi kuona makala mahali unakutana na wajinga wanasema "AI generated hii" au "Katumia ChatGpt au Deepseek AI huyu" kwahiyo tuongee kuhusu, suala la elimu, maarifa, na matumizi ya AI na jinsi inavyoweza kuongeza idadi ya wajanja, lakini pia kuleta ongezeko la wajinga.
Tuongee ukweli usiopingika AI: Fursa au Mtego?
Kuna watu wanaotumia AI kama ChatGPT, GitHub Copilot, DALL·E, na nyinginezo kuongeza maarifa yao na kuboresha kazi zao. Tools hizihizi zinawasaidia wataalam mbalimbali, kama:
Lakini unaweza kujiuliza Je, Wajinga Watatoka Wapi?
1. Uvivu wa Kujifunza: Watu wengi wataanza kutegemea AI hata kwa mambo rahisi, badala ya kujifunza na kuelewa basics za vitu japo nadhani kuna wajanja wanatumia AI kujifunza mfano mzuri ni Mimi apa Kuna baadhi ya vitu vingi nimevijua kupitia AI.
2. Kuchukulia AI Kama Adui: Badala ya kutumia AI kama tools maendeleo, wengine wataiona kama "uharibifu wa elimu"utaona content creators wajanja wanavyo face opposition kutoka kwa wajinga"Aaha unaenda kutumia ChatGpt unaleta matango pori hapa" au "Naona unaandika kwa kutumia AI tools kumbe watu wajanja wanatumia AI kuhakikisha hakuna syntax error ili kuboresha content zao.
3. Kutegemea Mawazo ya Wengine: Watu watakosa uwezo wa kupambanua kati ya habari sahihi na propaganda, kwa sababu hawatakuwa na maarifa ya msingi na pia ujuaji mwingi kila watakacho kiona mtandaoni wataamini ni kweli kwa kutumia Deepfake hiyo lakini kutokana na ujuaji watashindwa kuverify news kwa kutumia tools kama ChatGpt.
Hali hizi bhan zitasababisha ongezeko la watu waliopitwa na wakati, wanaoamini kila kitu kinachozalishwa na AI ni "FAKE" ilhali wenzao wanaendelea kutumia AI kuongeza ujuzi na usahihi wa kazi zao.
KWAHIYO: Tunaelekea Wapi Sasa?
Baadhi ya watu wataendelea kutumia AI kujiongezea maarifa na kufanya kazi kwa usahihi mkubwa.(Watu kama developers na watu wengine wajanja) Wengine wataendelea kulalamika na kubaki nyuma kwa sababu ya mtazamo wao hasi dhidi ya AI kama ChatGpt na AI image generators.
Wajanja wataendelea kubuni, kutatua matatizo, na kutumia AI kama kigezo cha kusonga mbele.
Wajinga wataendelea kulalamika, kuogopa mabadiliko na kudharau Teknklojia inayoleta maendeleo.
Swali ni: Uko upande gani?

- Programmers: Kutatua errors haraka kwa kutumia AI debugging tools. Watu wajanja wanasema "AI ni kama calculator ya programmers ni kama mathematician anayotumia calculator"
- Waandishi wa Habari: Kuangalia ukweli wa habari na kupata data kwa haraka. Mfano Millard Ayo Sasa hivi nirahisi kuverify taarifa kutoka mataifa mengine kupitia AI.
- Wafanyabiashara: Kutumia AI kuchambua masoko na kupanga njia Bora za kibiashara. Mfano mfanyabiashara wa Vitabu mtandaoni ni rahisi kupata strategy mpya ya kuuza Vitabu kwa kutumia AI