Nadhani na mimi nitapata

Nadhani na mimi nitapata

Wadada huyu jamaa hafanyi kazi aliyoianisha hapo! Huo ni mtego, trust me da' guy anamaisha poa tu ila anataka kujua mdada gani anamapenzi ya' kweli, akili kum'kichwa!
 
Harvest, Usiwe na Haraka utapata yule wa kweli kwa sababu umesema ukweli, na nafahamu kabisa wala huendeshi mkokoteni, sema umefanya hivyo ili kupata wa kweli na aliyetayari kukuvumilia kwenye shida na raha.
NAMUOMBA MUNGU ASIKIE KILIO CHAKO NA AKUPE MWENYE HERI NA WEWE , NA AKITUMIZIE HAJA YA MOYO WAKO.
 
We mtu gani huna preference yan hujali dini,umri,elimu,yeyote we twendeeee haya subir kuharvest unachopanda
 
Back
Top Bottom