Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Nimeweka sana juhudi kwenye kujijengea maisha lakini nguvu zote hazijafua dafu. Muda huu nimelala apa kitandani ila usingizi sipati kwa maana nipo kwa baba wakati ilinipasa niwe nafanya harakati za kuoa kwa umri wangu.
Nimetafuta sana mtu wa kunifadhili mtaji nifanye biashara ninayoifaham vyema ya stationary lakini wapi nimekosa walau iyo ela kidogo ya kufanikisha hili. Pia nina mawazo mengi ya biashara nzuri ninayoiweza kama ya vyakula vya kuku na kuuza nguo. Ila mawazo bila hela ni upuuzi tu na kuichosha akili bure.
Nimeishia kufanya vibarua viwandani nalipwa sh 5000 kwa kufanya kazi masaa 12...sasa hela hiyo nitasave vp na kufikia mtaji wangu.
Najiona kama nishapoteza dira maishani, mungu ndo mjua wa yote lakini kwa sasa sina matumaini ya hivi karibuni. Nina mawazo kila siku mpk kichwa kinauma.
Iwapo kuna kazi yeyote ya halali mtu anaweza niungisha umu ndani, basi mungu atamlipa, kwan atafungua nuru kwny maisha yangu. Mimi ni mzuri sana wa kutumia kompyuta na nina uwezo wa kutengenza tovuti aina mbalimbali.
Mwenye kuwiwa kunisaidia ni dm please