Pre GE2025 Nadhani ni muda muafaka kwa Tundu Lissu, Makonda, Mbatia na Wazalendo wengine kuanganisha nguvu 2025 kuchukua nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
wataunganaje ilihali hawajitambui? kila mtu ni kivyake vyake tu... wakijitambua wataufuata ushari wako.
Huu ndio ukweli Ubinafsi na maslahi ni kipaumbele chao wengi wao kuliko Taifa.

Mwabukusi, Bashiru, Msigwa, Makonda, Dr Slaa, Tundu Lissu, Lukuvi, Mbatia, Polepole, Kalemani, Heche, Kabudi,Ndugai, Mpina, Mnyika wakiungana wanachukua nchi.

Kenya Uhuru aliunga nguvu na Odinga. Afrika kusini Mandela aliwasamehe watesi wake. Ufaransa Macron akaanzisha chama chake kipya mifano ni mingi.
 
Lisu tutampa waziri wa katiba na sheria au mwanasheria Mkuu.

Makonda waziri wa mambo ya ndani.

Mbatia ni mzalendo tutajaribu kumpa waziri wa mambo ya nje.

Dr Slaa tumpe uraisi.
Mnaonaje hapo?
 
Lisu tutampa waziri wa katiba na sheria au mwanasheria Mkuu.

Makonda waziri wa mambo ya ndani.

Mbatia ni mzalendo tutajaribu kumpa waziri wa mambo ya nje.

Dr Slaa tumpe uraisi.
Mnaonaje hapo?
Hapo uko Sahihi kabisa
 
2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi .

CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola .

CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
Lissu sio mjinga , chukua hii na itunze
 
2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi .

CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola .

CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
Nchi Ina wapumbavu wengi badala ya kuleta issues unaleta majina ya watu

Tunahitaji katiba mpya. Huyo lisu na makonda wake tupa kule

Tukishapata katiba twaweza wakumbuka
 
Nchi Ina wapumbavu wengi badala ya kuleta issues unaleta majina ya watu

Tunahitaji katiba mpya. Huyo lisu na makonda wake tupa kule

Tukishapata katiba twaweza wakumbuka
Vijana wa CDM uwezo wa kufikiri ni mdogo sana hapa unaona umewaza mpaka mwisho
 
Nchi Ina wapumbavu wengi badala ya kuleta issues unaleta majina ya watu

Tunahitaji katiba mpya. Huyo lisu na makonda wake tupa kule

Tukishapata katiba twaweza wakumbuka
Uko sahihi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…