Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Hapo kwenye viburi na dharau ongeza na ujuaji, yani hali ni mbaya sana mitaani..
Ndio msingi wa familia bora katika kitongoji,kijiji,Kata wilaya mkoa nchi.....Kwani kuna watu bado wanawaza kuoa ?duuh
Sasa hao nusu tutagawa vp!?Kama nusu wanafaa basi inatosha
ππKama nusu wanafaa basi inatosha
πππKwani umelazimishwa kuwaoa?
Kuna siku dunia ilisimaa kisa kuna wanawake hawajaolewa au baadhi ya wanaume hawajaoa?
Ukiona mahusiano yanakushinda achana nayo fanya mengine.