Nadhani nusu ya Wanawake Tanzania hawafai kuolewa

Nadhani nusu ya Wanawake Tanzania hawafai kuolewa

Huu utafiti binafsi nilioufanya pamoja na kuwa idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume nimekuja gundua kuna idadi ndogo ya wife material kwa mana hiyo nusu ya wanawake wa sasa hawafai kabisa kuolewa

Kwa hali ya sasa ukifikilia kwa makini ni kama hatuna wanawake wakuoa wengi wamekuwa na viburi na zarau
Ukipata mwanamke mnyenyekevu mwenye kukuheshimu ujue umefanikiwa sana

Pia kuna kundi wanawake waliozalia nyumbani hawa nao ndio hawana sifa kabisa ya kuolewa kuna wanaume walijaribu kuwa sitiri lakini mwisho waliendelea na mahusiano ya awali
Mtu mmoja anakufanya uone umezunguka dunia nzima. Acha uoga
 
Unapoenda kwa mwanamke unamuomba hela ama nini. Shida kubwa wao pesa wameona km ndio kitega uchumi chao. Wakati wanatakiwa wawe wavumilivu kwanini na wewe mkuu ukitongozwa unawahi kuomba hela kama ndio hivyo utaozea kwenu ama katafute kambi ya kuuza K.
Pyee🤣🤣🤣haya bhn
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama mm aiseee nimenata kwa mtoto yaani anajua wajibu wake Hadi sio poa usafi , upole,unyenyekevu ,ucheshi, urembo, kichwani zimetimia na anajituma .....yaaani kunakipindi najutuaga kabisa kumsaliti na naumia yaaani naanza kutafuta justice ya ku equalize maujinga yangu siioni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna muda tukitazamana usoni namuhurumia nasema mama ungejua umeolewa na mwanaume wa aina gani sijui Kama ungetabasam hivo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila sijawahi penda wanawake ila huyu nimejifunza kumpenda na kumuheshumu ,Hadi yeye mwenyewe anasema eti aliniomba Mimi kwa Mungu na akampatia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa nikijiangalia mtu mwenyewe ambaye niliombwa kwa mwenyezi Mungu naishia kujicheka tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji851]hapo mbuzi kafia kwa muuza supu
 
Back
Top Bottom